Kwa majina ni Wesonga Mathews. Nmekuwa mwalimu wa Kiswahili kwa kipindi cha mwaka kumi. Huwa nafurahia nikikutana na wanafunzi kutoka pande zote za nchi. Mwanafunzi yeyote anayetaka kufunzwa Swahili aje kwangu nimwelimisha kwa upana. Karibuni nyote..