Nakukaribisha mwanafunzi wangu katika darasa la kiswahili,hapa utapokea masomo yako kutoka kwa mwalimu wako Shupavu ambaye ni mzaliwa wa Kenya ila amekulia uswahilini.
Tarajia vipindi vyenye raha na msisimko,tutajifunza hatua kwa hatua hadi tamati.Lengo kuu uwe mwanafunzi bora katika somo na kuzungumza kiswahili.
Karibu nikufunze lugha ya Afrika Mashariki.