Kutoka Chuo kikuu cha Nairobi. Nimefunza zaidi ya wanafunzi 20 ambao wamefanya mitihani yao na wakafuzu vizuri.
Nimwandishi wa majarida mbali mbali na mshairi.
Mimi ni mzungumzaji wa lugha ya kiswahili kizalia na ninauwezo wa kumfunza yeyote yule mwenye ari ya kukijua kiswahili.
* Ufunguzi katika lugha ya kiswahili
* Historia ya lugha ya kiswahili
* Uchambuzi wa Vipengele vya kiswahili
* Sarufi
* Mazungumo na lugha ya adabu
* Aina za sentensi na jinsi ya kuzichambua katika kiswahili
Nimefunza wanafunzi wa kutosha na siku zote njia nzuri ya kufunza ni kuanza na pale mwanafunzi anajua ili umsaidie pale ambapo hajui. Madhumuni ya kusomea hapa ni kusaidia mwanafunzi aweze kuelewa kiswahili vizuri.